Sauti | Tilawa ya Qur’ani Tukufu kwa Sauti ya Ridha Javidy
IQNA – Sauti ya tilawa ya aya za 22 hadi 26 za Surah Ash-Shura pamoja na aya za Surah Al-Kawthar imetolewa kwa wafuatiliaji wa tovuti ya IQNA kwa sauti ya Ridha Javidy, qari wa Haram ya Imam Ridha (AS), jijini Mashhad, Kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.